Pages

Wednesday, August 8, 2012

RAIS JAKAYA KIKWETE, MUSEVENI,KAGAME,NA RAIS KABILA WAKUTANA JIJINI KAMPALA KATIKA MKUTANO WA MAZIWA MAKUU.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Paul Kagame wa Rwanda(kushoto),Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda(Watatu kulia) na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo wakiwa katika mkutano wa viongozi wan chi za Maziwa Makuu unaofanyika jijini Kampala Uganda jana jioni.Picha na Freddy Maro-IKULU

Popular Posts