Mwanasheria   wa wakazi wa zilizokua kota za bandari Gerezani , Dkt. Sengondo Mvungi  (kulia) akizungumza na wateja wake. Dar es salaam  Katika moja ya  mikutano na wakazi hawio kuhusu  maendeleo ya kesi yao iliyo mahakama kuu ya Tanzania na  kwa mujibu wa  kesy namba 44 ya mwaka 2012 taarifa zilizochapichwa na mtendaji mkuu wa   wakara wa usafiri wa  haraka 'DART' kwa wahanga wakapokee fidia zao  linakiuka  amri ya Mahakama Kuu,iliyotajwa tarehe 28,6,2012  hivyo  mnashauliwa kuto tii agizo hilo pia waanga wa bomoa bomoa wanalifiwa  kuhudhuria kikao cha pamoja na wakili ni tarhe 11,8,2012 katika ukumbi mtakaoarifiwa na kamati yao Imetolewa na DR,Sengondo Mvungi
 
                      -