Pages

Wednesday, August 8, 2012

JUMUIYA YA KIISLAMU DMV WAFUTURISHA NA KUWAOMBEA WALIOTANGULIA MBELE ZA HAKI

Waumini wa dini ya Kiiskamu, wakiwa katika hafla ya futari iliyoandaliwa na jumuia ya Kiislamu Tanzanian Muslim Community, katika ukumbi wa Hillandale Local Park, New Hampshire Avenue, Silver Spring Maryland. Nchini Marekani.

Tanzanian Muslim Community Washington Metropolitan (TAMCO) jana Jumapili katika Mwenzi mtukufu wa Ramadhani wamefutarisha pamoja na kuwaombea Dua Jamaa wote waliotangulia mbele za haki.
Waumuni wakiwa kwenye kisoma pamoja na futari hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Hillandale Local Park New Hampshire Avenue, Silver Spring Maryland. Siku ya Jana. Bwana Omar, kutoka State ya Philadelphia alimazia kwa kuwakumbusha waumini wa jumaia, umuhimu wa Dini ya Kiislam katika Mwenzi huu Mtukufu wa Ramadhani.
Sikiliza kwa Makini (Audio) ya Kisomo pamoja na Mawaidha ya Bwana Omar kutoka Philadelphia kwa Audio Bofya hapa Hapa http://www.swahilivilla.blogspot.com/

Popular Posts