Rais  Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rubani Bomani na wanaanga wenzie   wa Ndege za Serikali  kabla ya kuanza safari ya kwenda Kampala, Uganda,  kuhudhuria mkutano wa nchi za Maziwa Makuu asubuhi leo Agosti 7, 2012
 Rais  Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,   Mhe Saidi Mecky Sadik  kabla ya kuanza safari ya kwenda Kampala, Uganda,  kuhudhuria mkutano wa nchi za Maziwa Makuu asubuhi leo Agosti 7, 2012
Rais  Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi la  Tanzania,  Luteni Jenerali Abdulrahman Shimbo  kabla ya kuanza safari  ya kwenda Kampala, Uganda, kuhudhuria mkutano wa nchi za Maziwa Makuu  asubuhi leo Agosti 7, 2012. Katikati yao ni Inspekta Jenerali wa Polisi,  Saidi Mwema.
(PICHA NA IKULU)
                      -