



Shughuli  mbalimbali za  mazishi za aliyekuwa Rais wa Ghana Profesa John  Evans  Atta Mills katika uwanja wa Independence Square jijini Accra leo  Agosti  10, 2o12

 Jakaya  Mrisho Kikwete akitoa heshima kwa aliyekuwa Rais wa Ghana  Marehemu  Profesa John Evans Atta Mills katika ukumbi wa Mikutano wa  Ghana jijini  Accra leo Agosti 10, 2012.

 Rais  Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo  wakati shughuli  ya mazishi ya Rais John Evans Atta Mills wa Ghana katika  ukumbi wa  Mikutano wa Ghana jijini Accra leo Agosti 10, 2012. 


 Rais  Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wenzie  baada ya shughuli  ya  mazishi ya Rais John Evans Atta Mills wa Ghana jijini Accra leo  Agosti  10, 2012

  Jukwaa kuu katika uwanja wa Independende Square wakati wa Shughuli   mbalimbali za  mazishi za aliyekuwa Rais wa Ghana Profesa John Evans   Atta Mills katika uwanja wa Independence Square jijini Accra leo Agosti   10, 2o12.Picha na IKULU