Mfanyabiashara ya mitumba katika soko la Saateni akitoa maelezo kwa  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad   alipotembelea eneo hilo jana.
   Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiulizia  bei ya viatu, wakati alipofanya ziara ya kutembelea eneo la biashara la  Saateni mjini Zanzibar.maaarufu kwa jina la jua kali.
  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiangalia  biashara ya mitumba, wakati alipofanya ziara ya kutembelea eneo la  biashara la Saateni mjini Zanzibar.
   Mfanyabiashara wa soko la Saateni  Khamis Ali Mohd  akitoa maelezo kwa  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad  kuhusiana  na hali ya kudorora kwa biashara katika soko hilo, wakati Maalim Seif  alipotembelea eneo hilo jana.Picha na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar