Pages

Tuesday, July 24, 2012

BASI LA SIMBA MTOTO NA DAR EXPRESS YAGONGANA USO KWA USO WAMI


Hali ndivyo ilivyokuwa...
Abiria wakiwashusha wenzao.
Basi la Dar Express lililokuwa linatoka Arusha na basi la Simba Mtoto lililokuwa linaenda Tanga yamegongana uso kwa uso maeneo ya Wami. Majeruhi wa ajali hiyo wamepelekwa katika hospitali ya Chalinze.

Popular Posts