Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano  wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na  Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa aliyemaliza muda wake, Asha-Rosre  Migiro, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo  Julai 24, 2012 kwa ajili ya kushukuru baada ya kumaliza muda wake wa  kazi katika Shirika hilo la Kimataifa UN. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
                      -
                    
