Pages

Monday, July 23, 2012

BBQ Party La Mr & Mrs Aggrey Urio Reading

Mr & Mrs Aggrey Urio.
Francia na Sheilamina wakila pozi.
Mdau akileta mkaa kuendeleza makamuzi ya kuchoma nyama.
Aggrey akikagua kama nyama ziko tayari.
Nyama zilichomwa zikachomeka.
Mda wa msosi umewadia.
Mr & Mrs Aggrey Urio wakila pozi na wadau.
Wadau kutoka Ukerewe wakijiachia.
M:kiti wa Tanz- UK DR Lusingu akifurahia jambo akiwepo Masija na Sheilamina
---
Salam,

Siku ya jumamosi tarehe 21.7.12 mdau Aggrey Urio alifanya sherehe ya kuchoma nyama hapa mjini Reading kusheherekea siku yake ya kuzaliwa ikienda sambamba na kuwatambulisha wadau mke wake Eunice aliekuja rasmi kutoka Tanzania. Aidha Aggrey alichukua fursa hii kuwashukuru wadau wote waliomwezesha kufanikisha kufunga ndoa yake nyumbani Tanzania hivi karibuni.

Mojawapo wa wageni waalikwa alikua Mwenyekiti wa TANZ- UK Dr John Lusingu.

Asanteni,

Urban Pulse Creative

Popular Posts