Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya  Waziri Mkuu, William Lukuvi kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai  23, 2012. 
   Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mpanda Kati Said  Arfi kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 23, 2012.
   Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Habari, Vijana,  Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara kwenye viwanja vya Bunge  Mjini Dodoma Julai 23, 2012. 
  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mpanda Kati , Said  Arfi na Mbunge wa Viti Maalum, Agripina Buyogela, Kwenye viwanja vya  Bunge Mjini Dodoma July 23,2012.Picha naOfisiya Waziri Mkuu