Pages

Thursday, July 26, 2012

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Wakala wa uuzaji wa Meli Kimataifa Bwana Rubin Rajan

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Wakala wa uuzaji wa Meli Kimataifa Bwana Rubin Rajan hapo nyumbani kwake Mtaa wa Namanga Mjini Dar es salaam. Kati kati ni Mfanyabiashara maarufu Nchini ambaye pia ni Mbunge wa Singida Kaskazini Mh. Kassim Dewji.

Popular Posts