Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Kiongozi wa Mabalozi waliopo Tanzania,pia Balozi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo JUma Alfani Mpango,(katikati) na Balozi wa Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu(UAE) pia Kiongozi wa Mabalozi wa Nchi za Kiarabu nchini Tanzania,Mallalla Mubarak  Suweid  El-Amri, walipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana kwa
Mazungumzo.
Mazungumzo.