Pages

Thursday, July 26, 2012

LEO NI SIKU YA KUZALIWA KWA SPIKA WA BUNGE MHE ANNE MAKINDA

Keki ya Spika Anne Makinda
Baadhi ya Wafanyakazi wa Ofisi za Bunge Mjini Dodoma Wakiwa na Keki ya Spika Anne Makinda Muda mfupi kabla ya kumkabidhi
Spika Anne Makinda akipokea keki kwa furaha kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa Bunge Mjini Dodoma leo.
Spika wa Bungbe Anne Makinda akikata keki kusherekea siku yake ya kuzaliwa leo mbele ya wafanyakazi mbalimbali wa ofisi ya bunge mjini Dodoma.
Spika wa Bunge Anne Makinda akikata keki tayari kuwalisha baadhi ya wafanyakazi wa ofisi ya bunge mjini Dodoma leo wakati wa sherehe yake ya kuzaliwa
Spika wa Bunge Anne Makinda akimlisha keki mmoja kati ya wafanyakazi wa ofisi ya bunge mjini Dodoma leo wakati wa sherehe yake ya kuzaliwa
Spika wa Bungbe Anne Makinda akipongezwa na baadhi ya wafanyakazi wa ofisi ya bunge mjini Dodoma leo wakati wa sherehe yake ya kuzaliwa.Picha Zote na Prospect Minja-BUNGE

Popular Posts