
   Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mheshimiwa Peter Kallaghe, Naibu  Balozi, Mheshimiwa Chabaka Kilumanga, akiwa pamoja na Wanamichezo wa  Tanzania wanaoiwakirisha nchi kwenye Michezo ya Olimpiki kwenye kijiji  cha Olimpiki.
 
   Balozi, Naibu Balozi, Maofisa wa Kamati ya Olimpiki ya Tanzania na  Wenyeji wao wa kujitolea (Volunteers), wakiwa kwenye picha ya pamoja  kwenye kijiji cha Olimpiki, London.
 
  Wawakirishi kutoka nchi mbalimbali, wakati wa ufunguzi rasmi wa  kuwakaribisha Wanamichezo wote kwenye Kijiji cha Olimpiki, shughuli hiyo  ya ukaribishaji wa Wanamichezo hao ulifanya jana tarehe 26 Julai 2012.  Wanamichezo hao walipata nafasi ya kukutana na ndugu na jamaa zao  ilikuwapa Motisha ya Ushiriki wao kwenye Michezo hiyo.