
 DAIMA huwezi zungumzia bidhaa za maziwa  bila kutaja bidhaa za ASAS Dairies IRINGA ambao huzalisha bidhaa za aina  mbalimbali zitokanazo na Maziwa halisi ya Ng’ombe.Maonesho ya 36 ya  Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam yanaendelea katika Viwanja vya  Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es Salaam ASAS DAIRIES wapo katika banda  la KARUME fika hapo na ujipatie mahitaji yako ya Maziwa.
 
 Bidhaa zimesheheni na vinavyostahili kuliwa vya Baridi utavipata baridi kwa fleva za kila namna 
 

  Wateja wakubwa kwa watoto wakijipatia bidhaa za maziwa bora kutoka banda la ASAS ndani ya Maonesho ya Saba Saba.
 
 Karibuni katika Banda la Bodi ya Maziwa Tanzania na utawakuta ASAS DAIRIES kwa bidhaa bora za Maziwa.