

 Warembo wanaotarajia kupanda jukwaani kuwania Taji la  Miss Vyuo Vikuu 2012, siku ya Ijumaa wiki hii katika Ukumbi wa Maisha  Club, wakipozi kwa picha ya pamoja nje ya Ukumbi wa Bunge, wakati  warembo hao walipofika kutembelea na kujifunza shughuli za Bunge mjini  Dodoma Leo, Julai 03, 2012. Picha zote na Muhidin Sufiani