RAIS  wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DKT. Ali Mohammed Shen  kwa uwezo alio pewa chini ya kifungu 9 (1) ((a) cha sheria ya  mafunzo  ya Amali Zanzíbar namba 8 ya mwaka 2006 amemteuwa DKT. Mohammed Hafidh  khalifan kuwa mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Mamlaka ya Mafunzo ya  Amali Zanzíbar .
  Kwa mujibu  wa barua ya tarehe 2 /7/2012 ilio tiwa saini Katibu wa  Baraza la  Mapinduzi na katibu mkuu kiongozi zanzibabr  DKT Abdull Hamid Yahaya  Mzee  uteuzi huo umeaza tangu tarehe 30/6/2012 mwaka huu.
  Na
   Ali Issa Maelezo-Zanzíbar