chama cha mapinduzi (ccm) wilaya ya nyamgana  mkoani mwanza kesho  kufanya maadamano ya amani kuishinikiza madaktari kurejea kazini na  kutoa huduma kwa wagonjwa 
katibu wa wilaya hiyo deogratius  rutta amesema hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari   ofisini kwake  amesema maandano hayo yataanza saa tisa alasiri kwakuanzaia ofisi  za wilaya ya nyamagano  hadi katika ofisi za wilaya ya nyamagana ambapo  maandamano hayo yatapokelewa na mwenyekiti  wa  ccm  mkoa wa mwanza   clement  mabina
                      -