Taarifa kwa Madaktari wote nchini,
Kamati ya Jumuiya ya madaktari Tanzania inapenda kuwaalika madaktari  wote nchini kuhudhuria mkutano mkubwa wa madaktari utakao fanyika siku  ya Jumanne tarehe 03/07/2012 kuanzia saa mbili asubuhi katika ukumbi  utakaotangazwa baadaye.
Imetolewa na Kamati ya Jumuiya ya Madaktari.
                      -