Rais  Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Paul Kagame wa Rwanda  wakikagua gwaride la  heshima katika uwanja wa ndege wa Kigali.
 
Rais  Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyeji wake Rais Paul Kagame wa Rwanda  wakipokea haeshima za marais muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuwasili  katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kigali kuhudhuria maadhimisho ya  miaka 50 ya Uhuru wa Rwanda

