Pages

Monday, July 2, 2012

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AFANDE AUGUSTINE NANYARO AAGWA RASMI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt Emmanuel Nchimbi akiwa na naibu wake Mhe Pereira Silima (wa kwanza kushoto) na Jaji Kiongozi Mhe. Fakihi Jundu (wa pili kulia) wakiwa meza kuu na Kamishna Jenerali wa Magereza anayemaliza muda wake, Afande Augustine Nanyaro (wa tatu kulia) katika hafla ya kumuaga kiongozi huyo wa magereza anayestaafu rasmi mwishoni mwa mwezi huu baada ya kutumikia jeshi hilo kwa takriban miaka 37. Hafla hii ilifanyanyika usiku wa kuamkia leo katika Bwalo la Maafisa wa Magereza la Ukonga, Dar es salaam
Champaigne ikiandaliwa
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt Emmanuel Nchimbi akigonganisha glasi na Kamishna Jenerali wa Magereza anayemaliza muda wake, Afande Augustine Nanyaro katika hafla ya kumuaga kiongozi huyo wa magereza anayestaafu rasmi mwishoni mwa mwezi huu baada ya kutumikia jeshi hilo kwa takriban miaka 37. Hafla hii ilifanyanyika usiku wa kuamkia leo katika Bwalo la Maafisa wa Magereza la Ukonga, Dar es salaam
Maafisa wa ngazi mbalimbali wa Magereza na taasisi zingine wakipita meza kuu kumuaga Kamishna Jenerali wa Magereza anayemaliza muda wake, Afande Augustine Nanyaro, katika hafla ya kumuaga kiongozi huyo wa magereza anayestaafu rasmi mwishoni mwa mwezi huu baada ya kutumikia jeshi hilo kwa takriban miaka 37. Hafla hii ilifanyanyika usiku wa kuamkia leo katika Bwalo la Maafisa wa Magereza la Ukonga, Dar es salaam

Kamishna Jenerali wa Magereza anayemaliza muda wake, Afande Augustine Nanyaro, akijumuika na waalikwa katika hafla ya kumuaga kiongozi huyo wa magereza anayestaafu rasmi mwishoni mwa mwezi huu baada ya kutumikia jeshi hilo kwa takriban miaka 37. Hafla hii ilifanyanyika usiku wa kuamkia leo katika Bwalo la Maafisa wa Magereza la Ukonga, Dar es salaam.

Picha na Muhidin Issa Michuzi.

Popular Posts