Pages

Thursday, July 5, 2012

Rais Jakaya Kikwete Akutana na Viongozi TAHLISO

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na viongozi wa Umoja wa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini (TAHLISO) walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam siku ya Jumatano Julai 4, 2012. Viongozi hawa walikuwa wakihudhuria kongamano la mabadiliko ya katiba lililokuwa linafanyika katika ukumbi wa Karimjee.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Umoja wa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini (TAHLISO) walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam siku ya Jumatano Julai 4, 2012. Viongozi hawa walikuwa wakihudhuria kongamano la mabadiliko ya katiba lililokuwa linafanyika katika ukumbi wa Karimjee.

Popular Posts