Pages

Monday, July 2, 2012

Wazazi na Baadhi ya Masheikh Nchini Acheni Tabia ya Kuwafundisha Vijana Uvunjifu wa Amani

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiuhutubia Umati mkubwa wa Waumini wa Dini ya Kiislamu kutoa Mikoa mbali mbali Nchini waliohudhuria Maadhimisho ya Kutimia Miaka 50 tangu kuasisiwa kwa Al Madrasat Shamsiyah ya Mkoani Tanga Mwaka 1962.
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakiwa katika Ziffa { Maandamano} ya Amani ya kusherehekea miaka 50 tokea kuanzishwa kwa Al Madrasat Shamsiyah Mkoani Tanga ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.Picha na Saleh Masoud Mahmoud

Popular Posts