Pages

Tuesday, July 3, 2012

MABONDIA WA TANGA WAMKUMBUKA BONDIA MAREHEMU MAGOMA SHABANI NA KUMCHANGIA KWA PAMBANO

Bondia Ramadhani Mbwana kushoto akipambana na Patrick Kimweri wakati wa mchezo wa masumbwi yaliyofanyika Mkoa wa Tanga jana kwa ajili ya kumuenzi na kumchangia bondias Marehemu Magoma Shabani aliefariki Dunia Kimweri alishinda mchezo huo kwa point
MABONDIA patrick kimweri na ramadhani mbwana wakioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi wakati wa mpambano wa kumkumbuka na kumchangia bondia Magoma Shabani Aliefariki Dunia
Bondia Yusufu Ally kushoto na Adam Yusufu wakioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi wakati wa mchezo huo kwa ajili ya kumkumbuka na kuchangia Bondia Magoma Shabani alifariki Dunia hivi karibuni Mkoa wa Tanga Adamu Yusufu alishinda kwa Point mchezo huo
Bondia Ramadhani Mbwana kushoto akipambana na Patrick Kimweri wakati wa mchezo wa masumbwi yaliyofanyika Mkoa wa Tanga jana kwa ajili ya kumuenzi na kumchangia bondias Marehemu Magoma Shabani aliefariki Dunia Kimweri alishinda mchezo huo kwa point
Bondia mkokwe wa siku nyingi Chales Muhilu 'Spins' ambaye kwa sasa ni Kocha wa Mkoa wa Tanga akifatilia mashindano hayo jana.
Baadhi ya Mashabiki waliojitokeza katika mpambano wa masumbwi kwa ajili ya kumuenzi Magoma shabani yaliyofanyika jana katika Mkoa wa Tanga.bondia

Popular Posts