

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,  akimwakilisha Rais Jakaya Mrisho Kikwete, kuongoza kikao cha  Baraza la  Mawaziri, kilichofanyika leo mchana, julai 6, 2012 katika ukumbi wa  TAMISEMI, mjini Dodoma. Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi ya Makamu wa Rais