Pages

Monday, July 2, 2012

Kongamano la Katiba Kwa wanafunzi wa Elimu ya Juu

Deus Kibamba ,Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba akitoa mada kwa vijana wa vyuo vikuu.
Mwenyekiti wa TAHLISO,Ndugu Paul Makonda akikaribisha rasmi wageni aliohuria kongamano la katiba.
Vijana wakisikiliza kwa makini.
Viongozi wa vyuo mbali mbali wakifuatilia kwa makini hoja za msingi.Picha zote na Adam Mzee

Popular Posts