Kijana  mmoja ambaye jina lake halikuweza kujulikana mara moja  akiwa  amekamatwa na vijana wa skauti mara baada ya kukamatwa huku akiwa ameiba  simu ndani ya Maonyesho ya SabaSaba 2012 jijini Dar.
    Mpeleke mpelekeeeee...
    Kitu cha Tanganyika jeki kikiwa kimekolea.
   Wananchi  mnatakiwa kuwa makini sana mnapokuwa mmetembelea maonyesho ya SabaSaba  2012 maana kuna vibaka wa kutosha japo vijana wa skauti wamekuwa  wakijitahidi kulinda usalama.