Pages

Friday, July 6, 2012

MABONDIA FRANCIS CHEKA NA JAPHET KASEBA WAPIMA UZITO KWA PAMBANO LA TAMASHA LA MATUMAINI

Bondia Japhet Kaseba akipima uzito.
Francis Cheka nae akipima uzito wake.
Mabondia hao wakitunishiana misuli.
...Wakiwa tayari kwa mpambano wa kesho.
Cheka akipimwa mapigo yake ya moyo.
...Kaseba nae akipimwa.
---
Mabondia Francis Cheka na Japhet Kaseba leo wamepima uzito wao tayari kwa mpambano wa kesho katika Tamasha la Matumaini litakalofanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mabondia hao wamepima uzito wao katika hoteli ya The Atrium iliyopo Sinza, Afrika Sana jijini Dar es Salaam ambapo kila mmoja amemtambia mwenzake kuwa ataibuka kidedea katika pambano hilo.

Popular Posts