Watu Mbali mbali wakisaidia shughuri za uokoaji katika eneo hilo 
 Umati Mkubwa wa watu uliofika Eneo la Ajali kushuhudia pamoja na kusaidia kazi ya uokoaji 
Baadhi ya watu wakiwa wameitanda Coaster hiyo kwa ajili ya kusaidia uokoaji 
 Baadhi ya ya maiti kama zinavyo onekana zikiwa chini wakati wanangojea shughuri nzima ya uokoaji 
 Gari Kubwa la Mizigo ambalo nalo Lilipinduka Mara baada ya ajali kutokea 
 Watu walio Fika katika hospitali ya Rufaa kutazama miili ya Marehemu
 Miili ya Marehemu ikiwa tayari imewasili katika Hospitali ya Rufaa Mbeya
 Polisi na watu mbali mbali pamoja na wauguzi wakiwa wamefika kusaidia kazi ya kushusha maiti hizo 
 Wafanyakazi wakiwa wanakimbiza majeruhi kupata huduma ya kwanza pamoja na Kupeleka Marehemu katika chumba cha Kuhifadhia Maiti.



 Basi aina ya Coaster lililo kuwa linatokea Mbeya kuelekea Kyela Muda mfupi baada ya Ajali kutokea

 Gari la Mizigo ambalo limehusika na ajali hiyo likiwa pembeni muda mchache baada ya ajali hiyo kutokea
 Baadhi ya waandishi wa Habari wakiwa katika eneo hilo la Hospitali ya Rufaa Jijini Mbeya muda mchache uliopita
 Mmoja wa majeruhi ambae baada ya kupata matibabu
 Mmoja ya mdada ambae ameumia Vibaya akipata matibabu  katika hospitali ya Rufaa muda mchache uliopita
 Baadhi  ya Ndugu jamaa na marafiki waliofika eneo nyumba ya Kuhifadhia maiti  katika Hospitali ya Rufaa kuwatambua ndugu zao muda mchache ulio pita
Polisi wa usalama wa Barabarani wakiwa katika hospitali ya Rufaa Mbeya
 Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa Dr.Sankey akithibitisha vifo vya Abiria 13 na Majeruhi 20
 Shuhuda aliye kuwa katika Ajali hiyo akitoka kutoa Ushahidi
 Miili ya Marehemu katika Chumba cha kuhifadhia maiti kwa ajili ya Utambuzi 
 Mamia ya watu wamefika Hospitalini hapo Kutambua Miili ya Ndugu zao
 Moja ya Maiti ikiwa Wodini kabla ya kupelekwa chumba cha kuhifadhia Maiti
 Watu Mbali Mbali wakielekea Kutazama Miili ya Marehemu
Watu wanazidi kumiminika kutazama Miili ya Marehemu Hospitalini Hapo
Mwandishi  Mkuu wa Mbeya yetu Blog wa kwanza kushoto aliye valia shati Jeupe  Joseph Mwaisango akiwa anatoka eneo la Tukio mara baada ya kumaliza kazi  yake
Tukio  zima Limefuatiliwa kwa ukaribu na Joseph Mwaisango ambae alipiga picha  zote na Kurushwa moja kwa moja  Hewani ya Fredy Tony Njeje wote wa Tone  Media Live Group, Ambao ni wamiliki wa mtandao huu.
Source : http://www.mbeyayetu.blogspot.com/
Source : http://www.mbeyayetu.blogspot.com/











