Spika   Mpya wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) Margaret Banbtonbg Zziwa (49)   kutoka Uganda akitoka ndani ya Ukumbi wa Bunge hilo uliopo katika  Ukumbi  wa Mikutano wa AICC jijini Arusha leo. Zziwa ambaye ni Mchumi  kitaaluma  amemshinda mwanamke mwingine kutoka Uganda, Mwanasheria Dora  Byamukama  (40) baada ya uchaguzi huo kurudiwa mara mbili baada ya kura  za awali  kutokufikia idadi asiliamia 30 inayotakiwa ya wapiga kura  wote.
                      -