Makamu  wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akivishwa  shada la  mauwa na Mtoto wake mara baada ya Kuwasili kutoka katika ziara  ya Nchi  za Izrail,Cuba na UAE.
 Makamu  wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi Akisalimiana na  Naibu  Katibu Mkuu wa Ofisi yake Said Shaabani mara baada ya kuwasili  Uwanja  wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.kutoka Ziara  ya  wikiTatu za nchi za Izrail,Cuba na UAE
 Makamu  wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akivishwa  shada la  mauwa na Mtoto wake mara baada ya Kuwasili kutoka katika ziara  ya Nchi  za Izrail,Cuba na UAE.
Makamu  wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akijibu hoja   mbalimbali za waandishi wa Habari waliofanya mahojiano nao mara baada ya   Kuwasili kutoka katika ziara ya Nchi za Izrail,Cuba na UAE.Picha na  Yussuf Simai-Habari Maelezo-Zanzibar