Waziri  Mkuu, Mizengo  Pinda akimkabidhi zawadi ya kinyago cha faru,  Balozi wa  Canada nchini, Robert Orr ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri  Mkuu  jijini Dar salaam Juni 5,2012 kuaga. 
 Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Afisa wa Masuala ya Siasa  katika  ubalozi wa Canada nchini, Sebastien Lanthier (kulia)  na  balozi  wake,  Robert Orr  (katikati)  ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu  jijini  Dar es salaam kuaga, Juni 5,2012.