Nape akifungua Shina la wakereketwa wa CCM, wafanyabiashara kwenye mabanda ya Chama Kata ya Mshengano, Songea.
 Mkazi wa Kata ya Tanga, mjini Songea, Kamanda Nico, akimsalimia Nape katika mapokezi hayo.
 Nape  akizindua mradi mabanda 119 ya biashara eneo la Mshengano,Songea.   Vibanda hivyo vya CCM vimejengwa na CCM kwa sh. milioni 206.
   Nape akisisitiza jambo wakati akihutubia mkutano huo

 Kina mama wakigara gara chini mbele ya Nape (jukwaani) baada ya kuingiwa na hotuba yake. 
 Nape akishiriki kucheza ngomabaada ya kuwasili Uwanja wa MajiMaji.
 Chama  Cha Mapinduzi (CCM) leo kimeiteka Songea baada ya umati wa  wananchi wa  mji huo kujitokeza katika mkutano wa hadhara wa CCM  uliohutubiwa na  Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na  Uenezi Nape  Nnauye  kwenye Uwanja wa Majimaji mjini Songea mkoani  Ruvuma. Pichani,  Nape akiwasalimia wananchi baada ya kuwasili kwenye  uwanja huo. Kushoto  ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Ruvuma Cornel Msuha 
Nape akipita kwenye kanga zilizotandikwa na kina mama waliovutiwa na hotuba yake.Picha na Bashir Nkromo