
Mwanamuziki Linah akiwa na wadau wa DMK Promotions
Mwanamuziki  Machachari Linah kutoka nchini Tanzania hivi karibu alimaliza ziara  yake nchini Marekani naanzania  kurejea nchini Tanzania baada ya kupiga  show kali kwenye miji mbalimbali nchini Marekani na Kufanya Video  Shooting Kali na Wadau Wa DMK Promotions