Pages

Tuesday, June 5, 2012

MAKAMU WA RAIS DK. GHARIB BILAL AKUTANA NA BALOZI WA SUDAN

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Sudan nchini Tanzania, Dkt. Yassir Mohammed Ali, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam leo Juni 05, 2012 kwa mazungumzo.

Popular Posts