Mbunge Shy-Rose Banji akila kiapo 
Shy Rose Banji akitia saini nyaraka za kiapo.
 Mh. Samuel Sitta ni muwakilishi wa Tanzania 
 Mh.Charles Makongoro Nyerere
 Mh.Abdullah Alli Hassan Mwinyi  
 Mh. Alhaji. Adam Kimbisa
 Mhe Bernard Musomi Murunyana
 Dkt Twaha Issa Taslima
 Mh.Nderkindo Perpetua Kessy
Mhe. Anjela Charless Kizigha.Picha Zote Zimeletwa Hapa na Mdau Mroki Mroki
--- 
Wabunge   wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) leo wameapishwa rasmi kushika   madaraka hayo huku Tanzania ikiwa na Wawakilishi tisa katika Bunge hulo.
Wabunge   hao waliapa baada ya kupatikana Spika wa mpya wa Bunge hilo ambapo   safari hii ikiwa ni Uganda kushika Uongozi huo wa Juu wa Bunge na Mwana   Uchumi, Margareth Zziwa kuchukua nafasi hiyo.
Wabunge   wote wa Tanzania katika Bunge la Jumuiya ya Mashariki waliokula kiapo   hii leo ni pamoja na Mwenyekiti wa Wabunge wa Tanzania kwenye Bunge   EALA, Alhaj Adam Omar Kimbisa na Katibu wake, Mh Shy-Rose   SaddrudinBhanji.
Wengine   ni Mhe. Anjela Charless Kizigha, Mh. Maryam Ussi Yahya,Mh.Nderkindo   Perpetua Kessy, Dkt Twaha Issa Taslima, Mhe. Abdullah Ali Hassan Mwinyi,   Mhe Bernard Musomi Murunyana Mhe. Charles Makongoro Nyerere na Waziri   wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta anaeingia kwa wadhifa   wake wa Uwaziri.
Wabunge hao wameapisha pamoja na wabunge wenzao wa Kenya, Uganda, Rwanda