Rais  Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Naibu Waziri wa mambo ya Nje wa  Umoja wa Falme za Kiarabu(UAE) Mhe.Khalid Ghaanim Al Ghaith wakati yeye  na ujumbe wake walipowasili kwa mazungumzo ikulu jijini Dar es Salaam  jana asubuhi.Mhe.Ghaith anashughulikia pia masuala ya uchumi.
   Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na ujumbe kutoka  Umoja wa Falme za kiarabu(UAE) unaongozwa na Naibu Waziri wa mambo ya  nje wa Falme hizo mhe.Khalid Ghaanim Al Ghait (wapili kulia) wakati  ujumbe huo ulipomtembelea ikulu jijini Dar es Salaam Jana.Picha na  Freddy Maro-IKULU