Pages

Saturday, June 9, 2012

Rais Jakaya Kikwete Awaapisha Majaji Wawili wa Mahakama ya Rufani na Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama

Jaji Mpya wa mahama ya Rufaa,Jaji Kipenka Msemembo Mussa akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam jana
Jaji Mpya wa Mahakama ya Rufaa,Jaji Semistoclis Simon Kaijage akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Kikwete aikulu jijini Dar es Salaam jana
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Jana amewaapisha majaji wawili wa Mahakama ya rufani pamoja na Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo.Pichani kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama,Jaji Edward Mkandara Kakwezi Rutakangwa akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.Wapili kushoto ni Katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Watu Kushoto ni Karani wa Baraza la Mawaziri Bwana Gerson Mdemu.Picha na Freddy Maro-IKULU

Popular Posts