Katibu  Mkuu wa Umoja wa Vijana CCM, UVCCM. Temeke Pius Seleman '  Pukapuka'  akimkabidhi fomu ya kugombea nafasi ya Uwenyekiti wa Umoja huo  Wilaya  ya Temeke Athumani Nyamlani Dar es salaam jana anaeshudia  katikati ni  Mwenyekiti wa Vijana Kata ya Sandali Bw. Ramadhani Mgomi. Na  Mpiga  picha Wetu
                      -