Mbunge  wa Ubungo(CHADEMA)John Mnyika Akihutubia na akisikiliza maswali na  kutoa somo la kudai uwajibikaji wa  serikali kwa wananchi, elimu ya  katiba mpya na M4C, kwa wanakijiji  katika maeneo ya wilaya tofauti za  Newala na Nanyumbu
Mbunge  wa Ubungo(CHADEMA)John Mnyika Akimsikilzia Katibu wa Tawi wa CUF, Bi.  Zaituni baada ya kutoa  somo la kudai uwajibikaji wa  serikali kwa  wananchi, elimu ya katiba mpya na M4C, kwa wanakijiji  katika maeneo ya  wilaya tofauti za Newala na Nanyumbu.Picha na Habari na Kurugenzi Ya  Habari-CHADEMA