Pages

Monday, June 4, 2012

BENKI YA CBA YAZINDUA PROMOSHENI YA WEKA FEDHA USHINDE

Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa benki ya CBA, William Mungai (kushoto), Mkuu wa Kitengo cha Masoko Aron Luhanga (katikati) na Mkuu wa kitengo cha Mkampuni Fatma Abdallah kwa pamoja wakizindua promosheni ya "Weka pesa na ushinde" ukiwa na akaunti ya CBA wakati na mkutano wa waandishi wa habari, Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa benki ya CBA, William Mungai (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa promosheni ya "Weka pesa na ushinde" ukiwa na akaunti ya CBA.Pomosheni hiyo itakua kwa muda wa miezi mitatu na zawadi mbalimbali zitatolewa kwa washindi ikiwa ni pamoja na Laptop,Desktop na printer,Plasma screen, DVD Home theatre Jokofu (friji). kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Masoko Aron Luhanga na kulia mwisho ni Mkuu wa Kitengo cha Makampuni Fatma Abdallah.

Popular Posts