Pages

Monday, June 4, 2012

RAIS WA SMZ AKUTANA NA WATENDAJI WA OFISI ZA IDARA MAALUM

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Ofisi na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Idara Maalum katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Ofisi za Idara hizo, katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar jana,
Baadhi ya watendaji wa Ofisi za Idara Maalum katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,wakiwa katika mkutano chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekitiwa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,mkutano huo unahusu masuala mbali mbali ya kiutendaji, katika idara hizo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar

Popular Posts