
 Mwenyekiti    wa Kamati ya tuzo za Chama cha waandishi wa habari za michezo TASWA   Bw.  Masod Saanane akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa   City  Sports Lounge jijini Dar es salaam jana, kulia ni katibu mkuu wa   TASWA  Amir Mhando
---- 
MAJINA   YA WALIOTEULIWA KUWANIA TUZO YA WANAMICHEZO BORA MWAKA   2011/MWANAMICHEZO BORA WA TANZANIA MWAKA 2011, ITAKAYOFANYIKA JUNI 14   MWAKA HUU
KIKAPU:
 WANAWAKE
 DORITHA  MBUNDA :-JKT QUEENS
 EVODIA  KAZINJA:-JKT QUEENS
 FARAJA MALAKI:-JESHI STARS
 WANAUME
 ALPHA KISUSI-Vijana  
 FILBERT MWAIPUNGU:-ABC
 GILBERT BATUNGI:-ABC
 NETIBOLI:
 LILIAN SYLIDION
  DORITHA MBUNDA
  GOFU 
 WANAWAKE:
 Madina Iddi (Umri miaka 27)
 Hawa Wanyeche (Umri miaka 26)
 Ayne Magombe (Umri miaka 24)
 WANAUME: 
 Frank Roman
 Nuru Mollel
 Issac Anania
 GOFU WA KULIPWA:
 FADHILI  SAIDI NKYA.
 YASINI SALEHE
 HASSANI KADIO
 OLIMPIKI MAALUM 
 Ahmada Bakar 
 Amina Daud Simba-kisahani na tufe
 Othman Ally Othman-mkuki, kisahani na tufe.
 Cio..
 PARALIMPIKI
 WANAUME
 ZAHARANI MWENEMTI
 JOSEPH NZIKU
 YOHANA MWILA
 WANAWAKE
 FAUDHIA CHAFUMBWE
 SIWEMA KILYENYI
 JANETH MADISE
 NGUMI ZA RIDHAA
 SULEIMAN SALUM KIDUNDA
 VICTOR NJAITI
 ABDALAH KASSIM
 CIO…
 WAOGELEAJI 
 (WANAWAKE)
 MAGDALENA MOSHI
 GOURI KOTECHA 
 MARIAM FOUM 
 WANAUME
 AMMAAR GHADIYALI 
 OMARI ABDALLAH
 JUDO...
  MBAROUK SELEMANI MBAROUK
 UNDER 81KG MEN JUDO PLAYER
  MOHAMED KHAMIS JUMA
 OVER 90KG MEN JUDO PLAYER
  AZZAN HUSSEIN KHAMIS
 UNDER 60KG Judo player
 CIO…
 WAVU…
 WANAWAKE
 ZUHURA HASSAN-JESHI STARS 
 THERESIA Ojode -JESHI STARS DAR 
 EVERLYNE ALBERT- MAGEREZA
 WANAUME
 MBWANA ALLY- MZINGA CORPORATION  - MOROGORO
 KEVIN PETER -MAGEREZA – DAR
 FARHAN ABUBAKAR- MAFUNZO ZNZ
 CIO…
 NGUMI ZA KULIPWA
 Benson Mwakyembe
 Nasibu Ramadhan 
 Francis Cheka
 Nassib Ramadhan
 Fadhil Majia
 TENISI:
 WANAUME
 WAZIRI SALUMU
  OMARY ABDALAH
 HASSANI KASSIMU
 WANAWAKE
 REHEMA ATHUMANI
  MKUNDE IDDY
 VIOLET PETER
 Cio…
 BAISKELI
 Wanawake
 Sophia Hussein
 Sophia Anderson
 WANAUME:
 Richard Laizer
 Hamisi Hussein
 WACHEZAJI WA TANZANIA WANAOCHEZA NJE
 Henry Joseph-Soka
 Mbwana Samatta-Soka
 Sophia Mwasikili-Soka
 MCHEZAJI BORA CHIPUKIZI
 Theresia Ojode- wavu (Jeshi Stars)
 SHOMARI KAPOMBE- (soka) SIMBA
 Salum Abubakari-Azam (soka)
 MCHEZAJI WA NJE ANAYECHEZA TANZANIA
 Haruna Niyonzima-Yanga (soka)
 Kipre Tchetche-Azam (soka)
 Emmanuel Okwi-Simba (soka).
 SOKA (WANAWAKE)
 Asha Rashid-Mburahati Queens
 Mwanahamisi Omary-Mburahati Queens
 Fatuma Mustapha-Sayari
 Ito Mlenzi-JKT
 WANAUME
 John Bocco-Azam
 Aggrey Morris-Azam
 Juma Kaseja-Simba
 RIADHA
 WANAWAKE
 Zakia Mrisho
 Mary Naali
 Jaqueline Sakila
 WANAUME
 Dickson Marwa
 Alphonce Felix
 MIKONO
 WANAWAKE
 Abinery Kusencha-JKT Ruvu
 Kazad Mtong-Magereza Kiwira
 Faraji Shaibu  Khamis-Nyuki Zbar
 WANAUME:
 Doris Mangara-Magereza Kiwira
 Zakia Seif-Ngome Dar
 Mary Kimiti-Magereza Kiwira.
 Cio…
 KRIKETI
 WANAWAKE
 MoniCa Pascal
 Asha Daudi
 Esther Wallace
 WANAUME
 Kassimu Nassoro
 Benson Mwita
 Riziki Kiseto
 TUZO YA HESHIMA-ITATANGAZWA SIKU HIYO
 MWANAMICHEZO BORA WA TANZANIA 2011-ATAPATIKANA MIONGONI MWA WASHINDI WA KILA MCHEZO.
 MASOUD SANAN-
MWENYEKITI KAMATI YATUZO
 08/06/2012