Pages

Sunday, June 3, 2012

Rais Jakaya Kikwete Akutana na Rais wa Somalia

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Somalia Sheikh Shariff Ahmed aliyekutana naye jana june 2, 2012 jijini Arusha. Pamoja na mambo mengine Rais Kikwete na mgeni wake waliongelea hali ya usalama katika nchi hiyo ya pembe ya Afrika na pia akamhakikishia Rais huyo ushirikiano wa kila aina katika kuhakikisha utulivu unarejea nchini Somalia.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Sheikh Shariff Ahmed aliyekutana naye jana june 2, 2012 jijini Arusha. Pamoja na mambo mengine Rais Kikwete na mgeni wake waliongelea hali ya usalama katika nchi hiyo ya pembe ya Afrika na pia akamhakikishia Rais huyo ushirikiano wa kila aina katika kuhakikisha utulivu unarejea nchini Somalia.Picha na IKULU

Popular Posts