Pages

Monday, June 4, 2012

Nape Nnauye Akagua Ujenzi Wa Barabara Ya Dodoma- Iringa

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimhoji mambo mbalimbali mtaalamu wa ujenzi wa kampuni ya China ya Sin Hydro, Zhang Wen Ge, alipokagua ujenzi wa barabara ya Dodoma- Iringa, katika eneo linalojengwa na kampuni hiyo lenye kilometa 95 kati ya Migoli na Iringa, alipopita katika barabara hiyo akiwa njiani kwenda mjini Iringa katika ziara ya kikazi, juzi.Picha na Bashir Nkoromo

Popular Posts