 Katibu  wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye  akihutubia mkutano  wa  hadahara katika Uwanja wa Turbo, mjini Njombe,  akiwa katika ziara ya  kuimarisha uhai wa Chama na kukagua miradi ya  maendeleo mkoani humo,  leo 5/6/2012

 Nape akizindua shina la wakereketwa wa CCM la Melizine mjini Njombe wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa Chama mkoani Njombe

  Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye  akicharaza ngoma   wakati wa mapokezi yake katika kijiji cha Mlangali mkoani Njombe juzi   4/6/2012.Picha na Mdau Bashir Nkromo